Posted @masoudkipanya Vijana hawa watano wakazi wa Dar es salaam, TAWFIQ MOHAMED, SEIF SWALA,EDWIN KUNAMBI,HEMED ABBAS na RAJABU MDOE wamepotea katika mazingira ya kutatanisha tangu tarehe 26.12.2021. hawajaonekana mpaka leo hii. 👇
88
213
1,298
Gerrard Juma retweeted
Najua kwamba nyumba sio nyumbani, wasio na nyumba pia wana nyumbani
11
20
488